Sikuwahi
kufikiria hili na sidhani kama hata wewe umewahi kufikiria hili pia??!!Eti
kwenye tangazo la Hamia Airtel dereva lile gari dogo nae mwishoni kabisa
alihamia kwenye basi kubwa la Airtel..
Nimelikumbuka hili baada ya kugundua kuwa aliyekuwa Afisa uhusiano wa Tigo Bw
Jackson Mbando sasa yuko Airtel akishika nafasi hiyohiyo..Jibu nililopata kuwa
kampeni ile kumbe sio ilifanikiwa kuwavuta wateja bali hata aliekuwa dereva(afisa uhusiano) nae amehamia Airtel…….Is
that’s advertising power??!!!
Mr Jackson Mbando |
Katika hili tangazo dereva nae alishuka
na kuhamia basi la Airtel.Na hicho ndicho alichofanya Mbando(dereva).Angalia tangazo hili